Nyota huyo wa Hispania mwenye umri wa miaka 22 amekuwa muhanga wa majeraha ya mara kwa mara hivyo kufifisha kiwango chake cha uchezaji alichokionyesha akiwa na umri wa miaka 16 wakati anapandishwa kucheza kikosi cha kwanza cha Barcelona. Fati alitabiriwa makubwa ndani ya Catalunya mpaka kupewa jezi namba 10 iliyovaliwa na nyota kama Ronaldinho Gaucho na Lionel Messi ambaye alihamia  PSG ya Ufaransa. 

14 Nov . 2024

Stars inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa kundi H ikiwa na alama zake 4 baada ya kucheza michezo minne ikishinda mechi moja ikitoka suluhu mechi moja na kupoteza michezo miwili mfululizo dhidi ya timu ya taifa ya Congo DRC.

14 Nov . 2024

Leroy Sane Winga wa kimataifa wa Ujerumani na klabu ya Bayern Munich.

14 Nov . 2024

Moalin alijiunga na KMC FC kutokea Azam FC alikofukuzwa kazi Augosti 29 2022.Raia huyo wa Marekani alitoa sababu tano zilizomfanya kuondoka KMC FC ikiwa bado mapema mzunguko wa kwanza wa ligi kuu Tanzania bara kutokana na kushindwa kuvumilia mazingira ya kazi kwenye kikosi hiko.

13 Nov . 2024

Malacia amekaa nje ya uwanja tangu aitumikie timu ya taifa ya Uholanzi dhidi ya Crotia mchezo wa mashindano ya ligi ya mataifa ya bara la Ulaya uliofanyika mwaka 2023.Baada ya hapo Mchezaji huyo amekuwa muhanga wa matatizo ya goti yanayomsumbua mara kwa mara kurejea kwake uwanjani mwezi Februari kuliahirishwa kutokana na kuhofia kumuharakisha kurudi uwanjani na kutonesha jeraha lake.

13 Nov . 2024

Mchezaji huyo kaitumikia timu yake michezo 16 mchezo wake wa mwisho ukiwa Oktoba 6 siku moja kabla ya kupata ajali ya gari akiwa na Rafiki zake.Kaitumikia michezo 3 timu yake ya taifa mchezo wake wa kwanza ukiwa ule wa Novemba 22 dhidi ya Iraq ambao ulitamatika kwa suluhu ya kutokufungana.

12 Nov . 2024

Huu ni mwanzo bora wa ligi ya kikapu Marekani NBA tangu msimu wa 2015-16 klabu ya Golden State Warriors iliyocheza michezo 24 mfululizo kwenye msimu huo.Donovan Mitchell amekuwa kwenye kiwango bora sana msimu kwa Cavaliers kamaliza mchezo wa jana akiwa amefunga alama 36 na Wachezaji wengine watano wamefikisha alama zaidi ya kumi mchezo wa jana huku ikitoka nyuma kwa alama 9 robo ya tatu na kushinda mchezo huo.

12 Nov . 2024

Sababu mbalimbali zimetajwa juu ya uamuzi uliochukuliwa na Uongozi wa timu hiyo kuhamia uwanja wa KMC Complex ikiwemo picha za vidio ambazo hazina uthibitisho kama kweli zinaihusu klabu hiyo zikionyesha mabomba ya sindano uwanjani Azam Complex ikisemekana Wachezaji wake wanaongeza nguvu kwa kuchoma sindano.

11 Nov . 2024

Msimamo wa Ligi Kuu nchini Italia Serie A baada ya michezo 12 kuchezwa.

11 Nov . 2024

Ushindi wa goli nne kwa sifuri dhidi Osasuna mchezo uliopigwa uwanja wa Santiago Bernabéu Stadium siku ya Jumamosi ya Novemba 9 mchezo huo ulitamatika huku kukiwa na majeruhi wapya kwa kikosi cha mabingwa watetezi wa La liga, Eder Militao atakaa nje ya uwanja miezi 9 baada ya kuumia goti,  Rodrygo Goes na Lucas Vazquez wote walipata majeraha kwenye mchezo huo.

11 Nov . 2024

Kikosi cha Liverpool msimu 2024-25 kinapewa nafasi ya kuwa mabingwa wa Ligi kuu Uingereza EPL msimu huu.

11 Nov . 2024

SAMIA KAGERA CUP, yazinduliwa Bukoba

9 Nov . 2024

Yanga itashuka tena dimbani baada ya lenda ya FIFA kukabiliana  na Al Hilal katika mchezo wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika mchezo utakaochezwa Novemba 26 2024.Baada ya kupokea kipigo dhidi ya Tabora United kuna taarifa nyingi zilienea kwenye vijiwe vya mpira na mitando ya kijamii kuhusiana na Kocha wa timu hiyo kuwekwa kitimoto na Uongozi wa kikosi cha Wananchi.

8 Nov . 2024

Kipigo cha jana kwa Wajangwani kimekuwa cha pili mfululizo baada ya kuruhusu kufungwa goli 1-0 dhidi ya Azam wiki iliyopita. Hii inakuwa mara ya kwanza Yanga SC kupoteza michezo miwili mfululizo tangu mwaka 2020.

8 Nov . 2024

Tchakei alionesha kiwango kizuri chenye mwendelezo kwa mwezi Oktoba akiwashinda Lusajo Mwaikenda wa Azam FC na Pacome Zouzoua wa Yanga, alioingia nao fainali katika mchakato wa tuzo za mwezi uliofanywa na Kamati ya tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

8 Nov . 2024