
Jeremie Frimpong - Beki wa kulia wa Bayern Leverkusen
Liverpool watalazimika kulipa Euro Milioni 35 ambayo ni sawa na shilingi 106,176,000,000.00 kwa fedha za Tanzania ili kumnasa beki huyo wa kulia ambaye msimu huu amecheza mechi 32 za Bundesliga amefunga mabao 4 na kutoa assists 5
Endapo uhamisho huo ukikamilika Frimpong atakwenda kuungana na Conor Bradley katika orodha ya wachezaji wanaocheza nafasi ya beki wa kulia