SAMIA KAGERA CUP, yazinduliwa Bukoba

9 Nov . 2024

Yanga itashuka tena dimbani baada ya lenda ya FIFA kukabiliana  na Al Hilal katika mchezo wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika mchezo utakaochezwa Novemba 26 2024.Baada ya kupokea kipigo dhidi ya Tabora United kuna taarifa nyingi zilienea kwenye vijiwe vya mpira na mitando ya kijamii kuhusiana na Kocha wa timu hiyo kuwekwa kitimoto na Uongozi wa kikosi cha Wananchi.

8 Nov . 2024

Kipigo cha jana kwa Wajangwani kimekuwa cha pili mfululizo baada ya kuruhusu kufungwa goli 1-0 dhidi ya Azam wiki iliyopita. Hii inakuwa mara ya kwanza Yanga SC kupoteza michezo miwili mfululizo tangu mwaka 2020.

8 Nov . 2024

Tchakei alionesha kiwango kizuri chenye mwendelezo kwa mwezi Oktoba akiwashinda Lusajo Mwaikenda wa Azam FC na Pacome Zouzoua wa Yanga, alioingia nao fainali katika mchakato wa tuzo za mwezi uliofanywa na Kamati ya tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

8 Nov . 2024

Mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa mwaka wa 2027 yanatarajiwa kufanyika kwa mara ya kwanza ukanda wa Afrika ya Mashariki kwa ushirikiano nchi tatu Tanzania, Kenya na Uganda ambazo ndizo zitakuwa  nchi wenyejiwa mashindano hayo.

7 Nov . 2024

Nyota huyo wa zamani wa K.R.C. Genk ya Ubelgiji, TP Mazembe ya Congo DR na Aston Villa ya England kumbukumbu nzuri ya maisha yake ni kufunga goli dhidi ya Manchester City mahasimu wa United kwenye mchezo wa fainali ya kombe la Carabao mwaka 2020.

7 Nov . 2024

Takwimu za mechi mbili walizokutana zinaonyesha timu ya Wananchi imeshinda michezo yote miwili dhidi ya Wapinzani wao siku ya leo  (3-0, 1-0)  Tabora United kutokea Tabora ambayo inashika nafasi ya 10 ikiwa imevuna alama 14 msimu huu.

7 Nov . 2024

Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kinashika nafasi ya tatu msimamo wa ligi kuu TPL kikiwa na alama 22 nyuma ya Singida Black Stars yenye alama 23 Yanga SC ikiwa kileleni mwa msimamo ikiwa na alama 24.

6 Nov . 2024

Real Madrid inashika nafasi ya pili msimamo wa ligi kuu nchini Hispania ikijikusanyia alama 24 nyuma ya Barcelona iliyoko kileleni na alama zake 33,ligi ya Mabingwa ipo nafasi ya 17 imekusanya alama 6 baada ya kucheza michezo minne.

6 Nov . 2024

Nyota huyo wa zamani wa Santos ya Brazil amekitumikia kikosi cha Al-Hilal michezo saba tu tangu ajiunge na timu hiyo kutokea PSG mwaka 2023.

5 Nov . 2024

Kikosi cha Yanga SC kina Wachezaji wengi wanaoweza kuziba pengo la Aziz Ki kipindi atakachokosekana uwanjani ili atafute utimamu wa mwili wake Clatous Chama na Pacôme Zouzoua ni mbadala sahihi kwenye eneo la namba 10 kikosi cha Wanachi.

5 Nov . 2024

Simba SC itacheza dhidi ya KMC Jumatano Novemba 6,2024 katika uwanja wa Kmc Mwenge, Dar es salaam. Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kinashika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzani bara kikiwa kimejikusanyia alama 22 katika michezo 9 huku KMC ikiwa nafasi ya 6 imekusanya alama 14 katika michezo 10.

5 Nov . 2024

Kocha huyo wa zamani wa Chelsea FC, Manchester United na Tottenham Hotspurs anasifika kwa uwezo wa kushinda ubingwa na timu zake zote alizowahi kuzifundisha anatumainiwa na Mashabiki wa Fenerbahçe SK kurudisha furaha yao kwa kushinda ubingwa wa Super Lig  muda mrefu kwa klabu hiyo umepita bila kushinda ubingwa wa nchi hiyo.

4 Nov . 2024

Simba SC inashika nafasi ya tatu ikiwa imejikusanyia alama 22 itaweza kupanda mpaka nafasi ya pili msimamo wa ligi  ikifanikiwa kupata matokeo ya ushindi dhidi ya KMC FC siku ya Jumatano Novemba 6.

4 Nov . 2024

Sababu za kuondoka kwake kwenye kikosi cha Gunners hazijawekwa wazi habari kutoka vyanzo mbalimbali Uingereza zinasema Edu inawezekana anavutiwa kujiunga na mradi  wa Mmliliki wa timu  Nottingham Forest F.C. Bwana Evangelos Marinakis wa kuijenga Forest kuwa timu tishio EPL.Hivyo kumshawishi Mbrazil huyo kujiuzulu nafasi yake ndani ya Arsenal.

4 Nov . 2024