Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye mjadala (round tables discussion) kuhusu Kilimo barani Afrika,

31 Oct . 2024

Taarifa rasmi kutoka ndani ya makao makuu ya kikosi hiko inatarajiwa kutoka  muda wowote siku ya leo na Mreno huyo anatarajia  kuanza kusimamia timu hiyo kwenye mchezo wa ligi kuu Uingereza dhdi ya Ipswich Town utakaochezwa Novemba 24, 2024. 

31 Oct . 2024

Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu ya Uingereza waliikaribisha Leicester City kwenye mchezo wa mzunguko wa 4 wa kombe la ligi Carabao na kupata ushindi mnono wa goli 5-2. hiyo ni idadi kubwa ya goli ambazo United imefunga msimu huu kwenye mchezo mmoja. 

31 Oct . 2024

Klabu ya Manchester City usiku wa jana ilitolewa nje ya mashindano ya kombe la Carabao baada ya kupoteza   mchezo dhdi ya Tottenham Hotspurs kwa kufungwa goli 2-1, haikua siku nzuri ofisini  kwa Vijana wa Pep Guardiola ugenini White Hart Lane.

31 Oct . 2024

Mchezo wa marudiano wa kufuzu kushiriki michuano ya CHAN 2025 kati ya timu ya taifa Taifa Stars dhidi ya Sudan uliopangwa kuchezwa uwanja wa Benjamini Mkapa hautokuwa na kiingilio ili kuwezesha Watanzania wengi kuingia uwanjani kuishanglia timu ya taifa baada ya kupoteza mchezo wa kwanza ugegeni nchini Mauritania kwa kufungwa goli 1-0.

30 Oct . 2024

Bingwa wa masumbwi kwa uzito wa juu ( heavyweight ) anayeshikilia mkanda wa Shirikisho la kimataifa la  ngumi Duniani IBF, Daniel Dubois amepewa muda wa kuamua Mpinzani atakayekutana naye kwenye pambano la kutetea ubingwa wake alioupata mwezi Septemba  baada ya kumshinda  Anthony Joshua.

30 Oct . 2024

Ruud van Nistelrooy atakiongoza kikosi cha Mashetani Wekundu katika mchezo wa ligi siku ya kesho Jumatano dhidi ya Leicester City, huku klabu ikisubiri kumtambulisha Kocha mkuu muda wowote kuanzia siku ya  kesho. 

29 Oct . 2024

Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Simon Mdende,

29 Oct . 2024

Kwa mara ya kwanza baada ya miaka 21 majina ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo yamekosekana kwenye orodha ya tuzo hizo. Zaidi ya miaka kumi na tano tuzo hizo zilitawaliwa na Wachezaji ambao wanatajwa kama Wachezaji bora wa muda wote kuwahi kutokea Duniani Messi na Ronaldo.

29 Oct . 2024

Pichani Ni Wakazi na Zuchu

29 Oct . 2024

Kocha wa klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno Ruben Amorim kwa mujibu wa vyombo vya Habari barani Ulaya vinamtaja kuwa ndiye kocha anayetizamiwa kuchukua nafasi ya Erik Ten Hag ndani ya Manchester United baada ya timu hiyo kutangaza kumfuta kazi Kocha huyo raia wa Uholanzi siku ya jana. Klabu ya Man United na Sporting Lisbon zipo kwenye majadiliano juu ya uhamisho wa Kocha huyo bora kwa sasa nchini Ureno.

29 Oct . 2024