Soko la Mitumba la Karume lateketea kwa moto

Jinsi moto ulivyokuwa unaunguza soko la mitumba la Karume jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.

Sehemu ya Soko la mitumba la Karume jijini Dar-es-salaam nchini Tanzania limeungua moto usiku wa kuamkia leo na kusababisha hasara kubwa ambayo bado haijaweza kufahamika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS