Mama maria Nyerere atoa tahadhari ya Vita
Mke wa hayati mwalimu Julias Nyerere, mama Maria Nyerere amewaasa vijana nchini kutojiingiza katika malumbano yasiyokuwa na tija kiasi cha kuwatukana waasisi wa taifa ili kuliepusha taifa kuingia katika hali ya uvunjifu wa Amani.