Magufuli hakunisikiliza - Heche
John Heche Makamu Mwenyekiti CHADEMA akihutubia wananchi wa Serengeti siku ya jana Mei 13 ambapo chama hiko kinaendele na operesheni ya No Reform No Election wakipinga uchaguzi mkuu kabla ya kufanyika mabadiliko ameweka wazi kuwa aliwahi kumshauri hayati Rais Magufuli kujenga kiwanda cha