Bilioni 1.9 kujenga kituo cha Zimamoto Mtumba
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imetembelea na kukagua ujenzi wa jengo la kituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lenye thamani ya Tsh. bilioni 1.9 katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma.