Video ya Serebuka ya Mwasiti leo
Baada ya kungojewa kwa muda sasa, Video ya mwanadada Mwasiti ya ngoma yake ya Serebuka, hatimaye inatarajiwa kuzinduliwa leo na kuonekana kwa mara ya kwanza kabisa kupita show kali Afrika Mashariki ya Friday Night Live usiku wa leo kupitia EATV pekee