Juliani sasa ageukia Mapenzi
Msanii wa muziki wa nchini Kenya, Juliani ameamua kuja kivingine akiwa na ngoma mpya ya kimapenzi ambayo ndani yake anafunguka juu ya mambo mbalimbali ambayo yanahisiwa kuwa ni uhalisia wa hisia zake kutokana na yale ambayo amepitia katika upande huu