Watuhumiwa wa mabomu Arusha, kizimbani tena
Watuhumiwa nane (8) kati ya 16 wanaokabiliwa na kesi ya kuhusika ulipuaji wa bomu katika baa ya Night Pack Arusha na mtandao wa kigaidi wamepandishwa tena kizimbani katika mahakama kuu kanda ya Arusha na kusomewa kwa mara ya pili mashtaka.

