Wauza dawa za binadamu fuateni kanuni - Serikali

Waziri mkuu wa Tanzania, Mizengo Kayanza Peter Pinda akiwa bungeni mjini Dodoma leo.

Serikali ya Tanzania imewataka wafanyabiashara wa dawa za binadamu kufuata sheria na kanuni za uuzaji wa dawa hizo ili kuepukana na uingizwaji wa dawa Bandia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS