Uchaguzi mkuu Simba kufanyika kesho June 29
Hatimaye baada ya mvutano wa takribani majuma matatu katika mchakato wa kuelekea uchaguzi mkuu wa viongozi wa klabu ya soka ya Simba, kesho uchaguzi huo uliokuwa na vibweka vingi katika mchakato wake utafanyika jijini Dar es salaam

