Wazo la Adokiye laibua mjadala
Mwanamuziki wa pop wa Nigeria Adokiye ambaye pia ni balozi wa Umoja wa Mataifa ameibua mitazamo tofauti kwenye mitandao ya jamii baada ya kusema yupo tayari kujitoa yeye kwa Boko Haram ili waachiwe wanafunzi wasichana 276 iliyowateka.

