Refigah akamilisha taratibu za ndoa Kimila
Boss wa lebo ya muziki ya Grandpa ya nchini Kenya, hatimaye amekamilisha rasmi taratibu za kiutamaduni za ndoa yake na kuwa tayari kuanza rasmi maisha mapya na mkewe, na hii ikiwa ni baada ya sherehe kubwa ya harusi yake iliyofanyika mwezi uliopita

