Ben pol - Maneno Maneno
kila siku n'napoamka, ninapoianza siku mpya
namshukuru Mola kwa kunilinda, nafasi nyingine nikapewa
labda nikijutuma na mi, iko siku wataniletea
nami niwe na vyangu, niepuke ya walimwengu
kukicha ni maneno maneno, wenzangu humuishi kusema
nami sijali yenu maneno, mwanadamu amezaliwa anasema
kukicha ni maneno maneno, wenzangu humuishi kusema
nami sijali yenu maneno, mwanadamu amezaliwa anasema
eh eh oh