Octopizzo kuwarusha wakimbizi Rapa Octopizzo akipanda ndege Rapa Octopizzo amechaguliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi, UNHCR nchini Kenya, kutoa burudani pamoja na kuzungumza na wakimbizi hao katika kambi za Daadab na Kakuma. Read more about Octopizzo kuwarusha wakimbizi