Mafunzo ya vitendo yaanza kozi ya makocha kuogelea
Kozi ya makocha wa mchezo wa kuogelea iliyoanza june 20 mwaka huu imeendelea hii leo kwa mafunzo ya vitendo yaliyofanyika katika bwawa la kuogelea la shule ya sekondari Shaban Robert jijini Dar es salaam

