Cyril aweka wazi mipango ya kusaka soko la 'Alowa'
Cyril
Msanii Cyril ambaye ngoma yake aliyoipatia jina la "Alowa" ambayo imeendelea kupokelewa vizuri katika vituo mbalimbali, ameeleza jitihada ambazo aliwekeza kabla ya kuachia wimbo huu. Mashariki.