Serikali yafafanua kuhusu ulinzi kwa wabunge
Serikali ya Tanzania imebainisha kuwa suala linalolalamikiwa na baadhi ya wabunge la kutopewa ulinzi na serikali sio la kiserikali bali ni la muhimili wenyewe kuamua kupendekeza sheria ya aina hiyo katika sera zake.

