FDLR wameomba kuweka chini silaha - Membe
Wapiganaji wa kundi la waasi katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC la FDLR limeandika barua kwa nchi za Jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC ya kuomba kuweka silaha chini na kutaka amani nchini humo.

