Watuhumiwa kesi ya mtoto Nasra wanusurika kipigo
Watuhumiwa wa kesi ya kumfungia mtoto Nasra Rashid ndani ya box kwa miaka minne kabla ya kifo chake mnamo Juni Mosi wamerudishwa polisi kuhojiwa baada ya mtoto huyo kufariki ili kuangalia uwezekano wa kufunguliwa mashtaka mapya.
