Diamond: ushindani ulikuwa mkali Diamond na Davido Msanii Diamond Platimunz ametoa ya moyoni kuhusiana na kilichotokea baada ya safari yenye ushindani mkubwa ya kuwania tuzo kubwa kabisa za muziki Afrika kumalizika mwishoni mwa wiki bila kupata tuzo hata moja. Read more about Diamond: ushindani ulikuwa mkali