Mechi ngumu za kirafiki ndio dawa kwa stars kufuzu
TFF yashauriwa kuipatia michezo ya kujipima nguvu timu ya taifa stars katika kipindi hiki ikiwa katika maandalizi ya kusaka tiketi ya kucheza fainali za africa AFCON 2015 michuano itakayofanyika nchini Morocco
