Phyno anamzimia Genevieve Phyno akiwa na Genevieve Nnaji Rapa mkali wa michano kutoka nchini Nigeria, Phyno ameweka wazi kuwa anamkubali na kumpenda sana msanii wa maigizo Genevieve Nnaji, na ana ndoto za kutoka naye kimapenzi siku moja. Read more about Phyno anamzimia Genevieve