Christopher Martin kuja Uganda Wasanii wa nchini Jamaica, Cecile na Christopher Martin Msanii kutoka nchini Jamaica, Christopher Martin anatarajiwa kutua nchini Uganda na kutoa burudani mwezi wa 9 mwaka huu, akiwa pamoja na msanii mwenzake Celil kutoka Jamaica pia. Read more about Christopher Martin kuja Uganda