Viongozi Dar wapewa changamoto kuhusu UKIMWI

Mkuu wa mko wa Dar es Salaam, Saidi Mecky Sadick

Serikali imewataka viongozi na watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha kuwa wanatoa kipaumbele na kuchukua hatua za makusudi kukabiliana na vitendo vyote vinavyochangia maambukizi mapya ya VVU katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS