Jeshi Stars wataka timu za vijana zaidi

wanamichezo mbalimbali wakicheza mpira wa wavu

Mabingwa wa mpira wa wavu mkoa wa Dar es salaam timu ya Jeshi Stars imeomba serikali kuboresha vyama vya mpira wa wavu ili kupata timu nyingi zaidi katika mashindano mbalimbali ya mchezo huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS