Elimu ya Cyprus inatambulika - Mhadhiri
Tofauti ya kisiasa iliyosababisha nchi ya Cyprus kugawanyika sehemu mbili za kaskazini na kusini imetajwa kuwa sio sababu ya kuwazuia vijana wa Kitanzania wanaotaka kwenda kusoma masomo yao ya elimu ya juu nchini humo.

