Idadi ya wahitimu wanaojiunga na JKT ni ndogo
Kumekuwa na Idadi ndogo ya wanafunzi waliohitimu kidato cha sita nchini Tanzania wanaojiunga na mafunzo ya Taifa Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria kutokana na wanafunzi wengi kuanza masomo mwezi Oktoba katika vyuo mbalimbali vya elimu ya juu.