Nikki wa Pili awaasa vijana kuhusu kutegemea ajira Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nikki wa Pilli leo hii ametambulisha ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina Sitaki Kazi ambayo amemshirikisha ndani yake msanii Ben Pol pamoja na G Nako. Read more about Nikki wa Pili awaasa vijana kuhusu kutegemea ajira