Jeshi Stars waliingia kwenye 'grand finale' ya leo wakiwa sio tu hawajapoteza mchezo, bali hawajapoteza hata seti moja.
Timu ya Mpira wa Wavu ya Jeshi Stars imetwaa ubingwa wa mchezo huo kwa mkoa wa DSM Baada ya kuifunga Magereza katika mchezo wa Fainali uliopigwa leo katika uwanja wa ndani wa Taifa.