Kigali wakubali kazi na Cindy kundi la Urban Boys nchini Rwanda Baada ya taarifa kutoka kwa msanii Cindy wa Uganda kuelezea nia ya kufanya kolabo na kundi nyota la nchini Rwanda-Kigali, tayari kundi hilo limeweka taarifa wazi kwa mashabiki wao kuwa wamekubali kufanya nae kazi. Read more about Kigali wakubali kazi na Cindy