Cindy adai mtoto wake Mahakamani
Cindy Sanyu, mwanamama anayefanya poa kupitia muziki nchini Uganda, yupo katika vita ya kisheria na Mario Brunette aliyekuwa mpenzi na baba mtoto wake, katika mahakama huko Nakawa, wakigombea haki ya malezi ya mtoto wao baada ya kutengana.
