Desire Luzindah ajifua kwa shoo za Live

Desire Luzindah

Msanii wa muziki wa nchini Uganda, Desire Luzindah ameendelea kujifua ili kuboresha muziki wake kwa njia ya kufanya maonesho ya Live na bendi, na imefahamika kuwa kwa sasa anaendelea kujifua kwa mazoezi makali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS