Jinsi moto ulivyokuwa unaunguza soko la mitumba la Karume jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
Sehemu ya Soko la mitumba la Karume jijini Dar-es-salaam nchini Tanzania limeungua moto usiku wa kuamkia leo na kusababisha hasara kubwa ambayo bado haijaweza kufahamika.