Madereva bodaboda walia na polisi shirikishi
Madereva wa pikipiki maarufu kama boda boda katika Jiji la Dar es Salaam wamelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi na kuwabaini watu wanaojiita polisi shirikishi ambao wamekuwa wakiwakamata mara kwa mara na kuwatoza faini hata kama hawana makosa.

