Vyuo vitoe kozi zinazokidhi soko la ajira
Vyuo vya Elimu ya Juu nchini vimetakiwa kubuni mitaala itakayowezesha kuwandaa vijana kuwa na utaalamu unaohitajika katika soko la ajira, kuliko ilivyo sasa ambapo wahitimu wengi humaliza vyuo huku wakiwa na vigezo visivyohitajika na waajiri.

