FA: Mfalme inaongea ukweli, Video kufanyika Nai

Mwana FA

Baada ya kuachia ngoma ya Mfalme ambayo mitaa imeielewa kwa kiasi kikubwa, Mwana FA ameweka wazi kuwa, wazo la kusuka ngoma hii ni kuweka wazi mambo yanayoizunguka jamii, kuikumbusha kuwa kadri kila mtu anavyojiona kuwa hana, kuna ambao hawana zaidi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS