Ukata waikabili Tennis walemavu Timu ya taifa ya tennis ya walemavu ya Tanzania Wheel Chair Tennis imesema pamoja na kuwa katika hali ngumu kifedha, wachezaji wameweka uzalendo mbele na kusahau shida ili kurejea na medali. Read more about Ukata waikabili Tennis walemavu