Octopizzo ajipanga hadi mtandaoni
Nyota ya rapa kutoka Kenya, Octopizzo imeendelea kung'ara kwa upande wa kimataifa, ambapo mbali ya mafanikio katika muziki na biashara zake, ukurasa wa msanii huyu katika mtandao wa Facebook umeweza kuhakikiwa ama kuwa "verified".

