TGU kutoa Mafunzo kwa Wanafunzi Mmoja wa wachezaji wa Gofu katika viwanja vya Lugalo Chama cha mchezo wa Gofu nchini (TGU) kinatarajia kuanza kutoa mafunzo kwa shule mbalimbali hapa nchini ikiwa na lengo la kukuza mchezo huo Read more about TGU kutoa Mafunzo kwa Wanafunzi