K-Denk akiri alipotoka kuasi
Msanii wa muziki kutoka Sudan Kusini, K-Denk ambaye alijipatia umaarufu kupitia mashindano ya Tusker Project Fame, amewaomba msamaha mashabiki wake kutokana na hatua yake ya kujihusisha katika maswala ya uasi ya nchini kwake.