Policy Forum yabaini udhaifu serikali za mitaa
Mtazamo hasi dhidi ya majukumu ya asasi za kiraia pamoja na uwajibikaji hafifu wa baadhi ya watendaji katika serikali za mitaa nchini imetajwa kuwa moja ya sababu zinazochangia kasi ndogo katika kukabiliana na kiwango cha umaskini.

