Wananchi walalamikia utiririshwaji wa maji machafu

Moja ya maji machafu yanayotiririka kuelekea makazi ya watu.

Wakazi wa mtaa wa Ubungo Kisiwani jijini Dar es salaam nchini Tanzania wameilalamikia serikali ya mtaa huo kwa kushindwa kuchukua hatua za kudhibiti watu wanaotiririsha maji yenye kinyesi kwenye mfereji uliopita kati kati ya makazi ya watu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS