Kaduguda azindua kitabu cha historia ya Simba SC Kitabu cha Historia ya Klabu ya Simba. Kitabu hiki kimegusia historia ya kina ya klabu ya Simba na kimeenda mbali zaidi kwa kuchambua historia ya jumla ya soka hapa nchini na harakati za uhuru. Read more about Kaduguda azindua kitabu cha historia ya Simba SC