Sakata tozo ya Dowans: Mambo magumu kwa LHRC
Msajili wa mahakama kuu nchini Tanzania ametupilia mbali ombi la kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC kutaka tozo ya shilingi bilioni 2.8 iliyotolewa na kampuni ya kufua umeme ya Dowans dhidi yao isisajiliwe kwa madai ya kuwa kinyume na sheria.

