Wosia wa PLO Lumumba kwa Bunge Maalumu la Katiba
Mwanaharakati wa Kimataifa, raia wa Kenya Profesa PLO Lumumba amewaomba wajumbe wa bunge maalumu la katiba kutoka kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA kurejea bungeni na kuendelea na mchakato wa katiba mpya.

