Serengeti Boys yaahidi kuwazima Wasauzi kesho
Kocha Serengeti Boys asema “Tunaiheshimu Afrika Kusini, lakini hatuiogopi. Morali ya wachezaji ipo juu na wanajiamini. Kimsingi wanajua kuwa hii ndiyo njia ya wao kutokea kwenye mpira wa miguu, kwa hiyo lengo ni kushinda mchezo wa kesho,”

