Watu kumi na Sita mbaroni kwa tuhuma za ugaidi

Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Advera John Bulimba.

Jeshi la polisi nchini Tanzania linawashikilia watuhumiwa 16 kwa kosa la kujihusisha na vitendo vinavyoashiria ugaidi ikiwa ni pamoja na umwagiaji watu tindikali katika maeneo mbalimbali nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS